Wednesday, August 17, 2016

hii ni filamu ya kitanzania ambayo inazungumzia maisha ya kijana ambaye ni muuza mitumba anayekutana na limbwata na kuingia kwenye matatizo makubwa.

Friday, June 8, 2012

UJIO WA FILAMU YA ADELAHIDA

Kaa tayari kwa Filamu ya Adelahida iliyotayarishwa na Mtayarishaji anayechipukia Shukurani K.Faraji.Ndugu watatu Ade,Lah na Ida wanakuja kukutana tena baada ya kupoteana kwa muda wa miaka ishirini.Kujua kilichosababisha utakiona na ndani ya Filamu hii.Ni filamu iliyotengenezwa kwenye mazingira ya asili katikakati ya misitu maeneo ya Matogoro-Songea.

Wednesday, October 12, 2011

Ujenzi wa Madaraja Masasi- Mangaka

Moja ya kati ya madaraja yaliyojengwa katika barabara kuu ya mangaka masasi ambayo ujenzi wake pamoja na barabara hiyo unalalamikiwa kuwa uko chini ya kiwango, kama yanavyoonekana,

karibu kwetu